TANZANIA: (Video): Songa – Yule Jamaa

 

 

 

Msanii wa HipHop hapa Bongo, Songa ameachia video mpya ya wimbo wake “Yule Jamaa”, video imeongozwa na Mo Skillz. Unaweza kujipatia Audio kupitia app yako ya Mdundo.com

Tazama hapa video hii:

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment