TANZANIA: Songa azidi kufanya vizuri katika chart za Mdundo

 

 

Msanii wa muziki nchini Tanzania ambaye anafanya miondoko ya Hiphop, Songa maezidi kufanya vizuri katika chart za Mdundo. Kupitia mtandao wa Mdundo.com unaweza kujionea kuwa msanii huyu anazidi kufanya vizuri katika chati hizo. Nyimbo zinazotamba katika Chati za Top 20 za mwezi  ni kama vile kibao chake cha “Hisia za Moyoni” feat. Double amabyo imechukua nafasi ya4, “Beki 3” ambayo imeshika nafasi ya 14 pamoja na “Enzi za utoto” amabyo imeshika nafasi ya 16.

Unaweza kutazama hapa video za Songa:

 Hisia za Moyoni  feat. Double:

Songa – Enzi za Utoto:

 

Kupitia App yako ya mdundo.com unaweza kujipatia pplaylist yenye mtiririko mzima wa nyimbo za Songa.

Hii ndio Cover ya Playlist hiyo :

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment