New album Release On 28 august 2016

Uzinduzi wa album ya rapper MIC GOWER iitwayo REMISSION utafanyika kwenye kanisa la TAG Tabata Segerea (DMC).
Siku ya Jumapili tarehe 28-8-2016 kuanzia saa tisa mchana, akisindikizwa na marapper wakali PETER BANZI, HURU KWELI, ELLY JOH, RUNGU LA YESU na wengine wengi. Bila kumsahau DJ JAZZ. Album itauzwa kwa Tsh 5000/=
Tshrt za R4C na REMISSION zitapatikana siku hiyo. Watu 20 wa mwanzo watapata Audio CD bure. KARIBU WOTE. HAKUNA KIINGILIO.

Leave your comment