TANZANIA: Gigy Money ataja list ya mastar wabongo amabo alishawahi kutoka nao kimapenzi
10 August 2016

Mwanadada Gigy Money ambaye ni mtangazaji wa redioni na pia ni video queen, amefunguka na kutaja list ya watu maarufu bongo ambao ameshawahi kutoka nao kimapenzi.

Gigy Money
Gigy Money mwenye umri wa miaka 19, hakumbuki idadi kamili ya wanaume ambao ameshawahi kushirikiana nao tendo la ndoa. Kupitia kipindi cha Take One cha Zamaradi Mketema kinachorushwa na kituo cha Clouds Media, Gigy alifunguka na kusema kwamba aliwahi kujitoa kimwili katika umri mdogo ilia pate hela ya kuweza kumnusuru mama yake mzazi kulipa deni la mkopo wa Benki.
Gigy ametaja majina ya mastar ambao alishawahi kutebea nao, nao ni;
- AliKiba
- Abdu Kiba
- Castro Dickson
- Rich Mavoko
- Harmonize
- Hemed Phd






Gigy Money amezaliwa katika familia ya watoto wane ambao kila mmoja anababa yake, kwa upande wake hakuwahi kumjua baba yake. Mama yake alimzaa pembeni ya mlango choo, na ni mtu aliekuwa akiwa anaamini hapendwi na mama yake mzazi kutokana na sababu tofauti kabla hajagunduaukweli.
Unaweza kuangalia mahojiano hayo mafupi hapa:
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz




Leave your comment