TANZANIA: {PICHA} Tamasha la Mwendokasi lafana
1 August 2016

Tamasha la MwendoKasi limefana siku ya tarehe 30 Julai huku stejini kukiwa kumeshambuliwa na wasanii lukuki wanaofanya vizuri katika tasnia ya muziki. Baadhi ya wasanii hao ni AliKiba, Sauti Sol, Navy Kenzo, Snura, Christian Bella, Mr Blue, Juma Nature, Isha Mashauzi, Gnako, Nuh Mziwanda, Barnaba, Mani Fongo, Quick Rocka na wengine wengi.
Unaweza kutazama hapa baadhi ya picha za tamasha hilo la MwendoKasi:

Nahreel

Nahreel

Aika Navy Kenzo

Aika na Vanessa

Aika na Vanessa

Vanessa

Jux na Joh Makini

Joh Makini

Mr. Blue


Isha Mashauzi

Nahreel

Roma Mkatoliki

Nay wa Mitego

Sauti Sol na Alikiba

Sauti Sol

Alikiba

Alikiba na Nuh Mziwanda na wachezaji wake

Nuh Mziwanda na Alikiba

Snura na wachezaji wake
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz




Leave your comment