TANZANIA: Vanessa na Jux wala vekesheni Serengeti

 

 

Vanessa Mdee na mpenzi wake Jux wameamua kwenda kupumzika kwa muda kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti. Wawili hao wamelazimika kusimamisha ratiba zao ndefu za muziki na biashara kujionea maajabu kwenye mbuga hiyo maarufu duniani iliyopo wilayani Serengeti, mkoani Mara.

Wamefikia kwenye moja ya hoteli za mbugani bora zaidi duniani, Singita Serengeti Grumeti. Hoteli hizo zinazomilikiwa na wawekezaji wa Afrika Kusini, ni miongoni mwa hoteli zinazotoza gharama kubwa zaidi kwenye mbuga za wanyama barani Afrika.

Unaweza kutazama hapa picha zao wakiwa vekesheni:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave your comment