TANZANIA: Moses Iyobo, Diamond, Alikiba, Vanessa, Linah na wengineo kuwania tuzo za Afrimma
21 July 2016

Tarehe 15 October 2016 zitatolewa tuzo za AFRIMMA 2016 kwa mara nyingine tena, ni tuzo zinazotolewa kila mwaka Dallas Texas Marekani ambapo zinahusisha zaidi Wasanii mbalimbali wa muziki waliofanya vizuri kutoka bara la Afrika.
Wanaowania tuzo za 2016 tayari wametajwa ambapo miongoni mwao, Watanzania wanaowania ni Dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo, Diamond Platnumz mwenyewe, Alikiba, Yamoto Band, Vanessa Mdee, Linah na Producer Tudd Thomas kama inavyoonekana kwenye hii list hapa chini.
















Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz




Leave your comment