TANZANIA: Young Killer awatishia mashabiki zake

 

 

 

Mashabiki wa Young Killer Msodoki wamekuwa na maoni tofauti baada ya rapper huyo kupitia instagram yake kutishia kuachana na muziki na kujikita kwenye mpiga wa miguu

Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na video yake ya wimbo ‘Kumekucha’ akiwa amemshirikisha Mr Blue, hapo awali kabla ya kuingia kwenye muziki na kufanya poa, alikuwa akicheza mpira wa miguu.

Kupitia instagram alipost picha (hapo juu) na kuandika “Sijui niingie rasmi kucheza mpira!! sijui nikomae na mziki tu” kauli ambayo imezalisha mabishano katika ukurasa wake huyo.

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki yake.

Frederickkatoto

 Music ndo fresh mie mwenyew shabk wko nakkbar knoma noma msodoc

mtandic27

 cjui kama mpira utauweza kama unavyouweza mziki, penda sana mziki wako killaboy

kingshemjr

 Mpira wa utapewa kishipa broo c unajua watz wachawiiiiiiii

joe_platnumz#

 popote popote kambi kinachomata nikupata chambichambi maana cku nazo hazgand@youngkillermsodokii

allylu2bybee

 Hahaaa miss hip hop utamnyima kazi @rapha_tz mwambie akupe verce moja

asmatdoud

Bora vyote coz vinaingiza pesa pia na mwl unakua imara

 

Chanzo: Bongo5

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment