B BWAYS RECORDS

KIMBUNGA MCHAWI ft MR MAGUFULI WAFANYA BONGE LA HIT UNDER B BWAYS RECORDS
Wimbo huo ukielezea kuwa ikibuna ndo anaa cha mziki kabisa,hatujajua ndani yake kuusikiliza download ngoma hiyo inaenda kwa jina la BASI TENA.
Jamaa sijui kafikilia nini kuchana mistari hiyo huku akimchana hasimu wake mkubwa ...NEY WA MITEGO
ALIPOULIZWA NA waandishi wa vyombo mbalimbali vya habri kuhusu kazi yake hy mpya Alichjibu yey ni kusema alijiwa na hisia tu kutokana na mdundo kutoka B BWAYS ulivopigwa yeye mwenyewe hakutegemea.alisema download kazi ndo utaskia alichoimba.
Na kuhusu kumshirikisha MAGUFULI alisita kidogo kuongea ila aksema skiza kazi then utaskia.huyo ndo kimbunga mchawi

Leave your comment