TANZANIA: TID ajichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair kama ishara ya kumuenzi

 

 

 

TID anaendelea kumuenzi rafiki yake kipenzi, marehemu Albert Mangwea kwa style ya aina yake.

Mnyama amejichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair. Baadhi ya nyimbo ambazo TID ameziandika ni pamoja na She Got A Gwan, Mikasi, Dakika Moja, CNN, Ghetto Langu, Fly Away na AKA Mimi. Wawili hao walikuwa karibu kiasi cha kuanzisha kwa pamoja label ya Radar Entertainment.

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

Leave your comment