TANZANIA: Ben Pol aamua kushare picha ya mwanae

 

Msanii wa muziki wa R&B, Benard Paul ‘Ben Pol’, ameamua kushare picha ya mwanae aitwae ‘Mali’ katika mitandao ya kijamii.

Muimbaji huyo wa wimbo ‘Moyo Mashine’ unaofanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio na runinga, kupitia instagram yake, ameandika ujumbe wa mwanae kwa mashabiki wake.

“Shikamooni watu wa Baba yangu’ wa Instagram na Facebook… Nimewamiss… faza kaniambia nije niwasalimie kidogo, jina langu mi apa aitwa Mali ya Baba , I’m out! Oyo aasshinee, imba na Baba

Leave your comment