TANZANIA: Zari ampa baraka zote Diamond

 

Hakuna baraka za muhimu kuzipata kama zile za mzazi wako na zile za mtu umpendaye. Kwa mwanaume baraka kutoka kwa mke wake zina nguvu mno hasa kwakuwa maandiko matakatifu yanasema kuwa mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume.

Mrs Nasib Abdul, Zari amempa baraka zake mpenzi wake Diamond ambaye amesafiri kwenda Los Angeles, Marekani kwenye tuzo za BET. Diamond ametajwa kuwania kipengele cha Best International Act: Africa.

 

 

“Safari njema. May the Good Lord be with you all the way. Praying you bring the BET Award back to East Africa…. xoxo

Leave your comment