Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Wema na Luis Munana!! Mmh!!
24 June 2016

Wema Sepetu na aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa aliyeiwakilisha Namibia Luis Munana, walishawahi kuwa wapenzi suala ambalo halikuwa siri, kwani account zao za mitandao ya kijamii hususani Instagram, zilijieleza lakini baadae waliachana na kila mmoja alifuta picha zote walizowahi kupiga pamoja.


Baadae Wema akaweka wazi mapenzi yake kwa mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan ambaye alikuwa rafiki wa ex boyfriend wake. Baada ya Wema na Luis kila mmoja kufuta picha za mwenzake instagram, hawakuwahi kupostiana tena, hadi Alhamisi ya June 23 2016 kila mmoja alipoamua kumpost mwenzake na maneno ambayo hayakueleweka walikuwa wanamaanisha nini.


Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz
Weekly Top 10 songs

Time2:39
CHAMPION GAL3:00
Know Better3:34
KAPEKE LONDON2:23
Anaconda2:58
Oyaya2:43
BIkola2:58
Baraka4:33
Jesus Na Winner3:41
Joy Is Coming3:08


Leave your comment