TANZANIA: Video ya Burger Movie Selfie Remix kutoka Ijumaa

 

Video ya remix ya ngoma ya Belle 9, Bulger Movie Selfie inatoka Ijumaa hii.  Ngoma hiyo imeshirikisha wasanii watano ambao ni pamoja na Izzo B, Jux, G-Nako, Mr Blue na Maua Sama.

Staa huyo ameiambia Bongo5 kuwa video hiyo imeguswa na waongozaji watatu ambapo muongozaji mkuu ni Mkenya, Enos Olik. Wengine ni Hanscana na Khalfan. Amedai pia kuwa camera iliyotumika ni Red ambayo huchukua picha zenye ubora mkubwa zaidi

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

Leave your comment