TANZANIA: Diamond atoa ratiba yake ya tour
21 June 2016

Diamond ni moja kati ya wasanii wakubwa nchini Tanzania, ni msanii ambaye anamashabiki weng sana ndani na nje ya mipaka ya Tanzania hata Afrika kiujumla.
Kupitia ya ukurasa Instagram, Diamond ametoa ratiba yake inayoonyesha booking zake kuanzia mwezi June mpaka August. Ni jambo zuri ambalo lingefaa kuigwa na wasanii wengine ili ijenge urahisi wa kupata show pasipo kuingiliana na ratiba nyingine.

Aliandika:
“And here is My Performances Schedule at the Moment!.... #SaveYourCityDate




Leave your comment