TANZANIA: Video ya ‘Aje’ ina views zaidi ya mil. 1 kwenye YouTube ndani ya siku 22 tu.
9 June 2016

Msanii Alikiba ambaye ni hitmaker wa nyimbo ya ‘Aje’ video yake ina siku 22 tu hapa mwezi bado na imeshatazamwa mara 1,391,422 kupitia YouTube . Msanii huyu ambaye hivi karibuni amesainishwa na lebo ya Sony Music na kuzidi kufanya vizuri ndani nan je ya mipaka ya Tanzania.
Unaweza kuitazama video hii hapa:
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz




Leave your comment