TANZANIA: Studio ya WCB yafungwa kwa muda

 

Studio ya Lebo ya WCB ambayo inamilikiwa na staa wa muziki wa nchini Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz imefungwa kwa muda ilikupisha ukarabati wa studio hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Diamond alipost picha ya studio hiyo na kuandika haya:

“I can't wait to present to you our @WasafiRecords New Look!.... Still on the Making though

Leave your comment