TANZANIA: Ben Pol aja na shindano kwa mashabiki wake

 

 

Msanii Ben Pol aja na idea ya Insta challenge ambayo inawapa fursa mashabiki wake kuimba nyimbo ya Moyo Mashine ambayo itawapelekea kushinda zawadi mbalimbali.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, Msanii Ben Pol amepost na kuandika haya:

Naangalia video za washiriki wa #MoyoMashine #InstamixChallenge hapa, Kushiriki ni rahisi;

  1. Download Beat ya #MoyoMashine (link iko kwenye Bio yangu ya Instagram @iambenpol )
  2. Jirekodi video clip ukiwa unaimba Moyo mashine juu ya hiyo Beat yake (hakikisha sauti yako inasikika vizuri)
  3. Post kwenye Account yako ya Instagram kumbuka kuweka tags zifuatazo; #BenPol #Moyomashine #InstamixChallenge (usipoweka hizi tags nitashindwa kuiona video yako kwa urahisi)

Hapo utakuwa tayari umekwishashiriki, Tutatafuta washindi wa 3 - 4 kila wiki , baadae washindi 10, wa 5 mpaka tutampata mshindi wa kwanza.

 

Zawadi kwa Mshindi;

  1. Pesa taslimu 500,000
  2. Offer ya kurekodiwa wimbo mmoja ndani ya studio za @oneloverecs chini ya mtayarishaji @tiddyhotter bila kulipa gharama zozote.
  3. Smartphone mpya!! SING, SHARE, WIN!!! #BenPol #BtheKingOfRnB

#Moyomashine #instamixchallenge

#MoyoMashineInstamixChallenge

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

Leave your comment