TANZANIA: Mchoro wazua vioja mtandaoni

 

Kipaji cha uchoraji ni kitu kinachoweza kubeba hisia za mtu kupitia Sanaa. Mchoraji mmoja kupitia gazeti moja nchini ameamua kuchora mchoro unaoonyesha wanadada  ambao wako kimahusiano na wanaume walio na umri mdogo kuliko wao, ni picha hiyo kusambaa katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

Waliochorwa ni Jackline Wolper ambaye yuko kimahusiano na Harmonize, Wema Sepetu ambaye yuko kimahusiano na Idris Sultan, Zarina Hassan ‘Zari’ ambaye yuko kimahusiano na Diamond Platnumz pamoja Auntie Ezekiel ambaye naye yuko katika mahusiano na Moseiyobo.

Kupitia mtandao wa Instagram Wema Sepetu alipost na kusema: “Ila aliechora hii natamani tu nimuone... Nimpe mkono....

Leave your comment