TANZANIA: Ipo siku nitakuwa mama – Wema Sepetu

 

Mwanadada Wema Sepetu amesema kuwa ipo siku nayeye ataitwa mama. Hiyo imetokana na pale msanii kutoka kundi la WCB Harmonize kupost video clip ikimuonyesha akiongea maneno yaliyomuumiza mwanadada huyo.

Harmonize na wenzake walipost clip hiyo na kusema kuwa:

“Uzuri wa nyumba usikufanye utembee peku, sistaduu usitoe mimba kesho ulie ka… Sepetu..”

Kauli hiyo iliyoonekana kumuumiza mwanadada huyo na kuamua kupost Picha akiwa na mama yake Instagram na kusema:

"Ipo siku nitaitwa mama"

 

mashabiki wa mwanadada huyo ambapo kila mmoja alijaribu kuonyesha hisia zake:

To Allah belongs the kingdom of the heavens and the earth. He creates what He wills. He bestows female (offspring) upon whom He wills, and bestows male (offspring) upon whom He wills. Or He bestows both males and females and He renders barren whomever He wills. Verily, He is the all-Knower and is Able to do all things." [Quran 42:49-50]..

“Mungu ni WA wote hata yy ana madada ipo siku watakumbana na haya anayomfanyia wema hata watoto atakaozaa mungu anajibu”

“Sijawahi comment but hii imenigusa sanaa ,daah sio vizuri kumtukana, mami mungu yuko nawe”

“Mungu ni mwema Wema hata Sara alizaa akiwa na miaka 90,Janeth Jackson ana mimba akiwa na miaka 50,usikate tamaa mungu yupoo”

“Yes dear u will be... Just have faith tz swthrt na waombee wale wote wanaokubeza na kukusema kwa kejeli waishi kwa muda mrefu ili washuhudie matendo makuu ya Mungu.

Leave your comment