TANZANIA: Mara yangu ya mwisho kupanda daladala ni wakati niko chuo - Vanessa

 

Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania Vanessa Mdee, ameongelea swala na mabasi ya mwendo kasi katika jiji la Dar na kusema ni hatua moja kubwa ambayo nchi yetu ya Tanzania imepiga.

Vanesa alisea kuwa, “Ukienda nchi za nje Marekani ikiwemo a lot of people use the Subway zile treni za chini na watu wengi wanatumia, ni good measure of development. Kama ni kitu kinachowezekana basi la mwendo kasi likanifikisha pale ninapotaka kwenda haraka, why not”. Aliongeza na kusema kuwa mara yake ya mwisho kupanda daladala ni wakati yuko chuo.

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

Leave your comment