Snura akaribia kuachia video mpya ya wimbo wa snura

Yule msanii mkali aliekuwa gumzo nchini kwa sasa snura mushi anakaribia kuachia video yake mpya ya wimbo wa muziki wa chura... video hiyo itakayoshutiwa na producer pabro itafanyika jumatano ya wiki ijayo... hivyo wapenda burudani africa mashariki mnatakiwa muwe tayar kwa ajili ya kuipokea video hiyo kali na yenye juzingatia maadili ya tanzania.

Leave your comment