TANZANIA: Nilikuwa na ndoto ya kuja kusaidia wengine – Ommy Dimpoz

 

Msanii huyo amesema kuwa mambo magumu na changamoto alizozipitia wakati anaanza muziki, ndizo zimemfanya achukue uamuzi wa kusaidia wengine.

Ommy Dimpoz ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha PlanetBongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema pia ilikuwa ndoto yake kuja kusaidia wengine.

' Ilikuwa ni ndoto yangu kusaidia watu wengine, lakini si vibaya kusapoti kipaji ambacho kinaweza kuwa biashara nzuri baadae, mi mwenyewe nimehustle na ndio maana nakumbuka kuwasaidia wenzangu”, alisema Ommy Dimpoz

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment