TANZANIA: Ommy Dimpoz ameamua kuweka wazi mahusiano yake.

 

Msanii Ommy Dimpoz ambaye anamiliki lebo ya muziki ya Poz kwa Poz (PKP) amezungumzia mahusiano yake mwandani wake ambaye yupo UK kisomea Udaktari, na kusema kwa sasa ameamua kuweka wazi mahusiano hayo kwani tayari amekuwa mtu mzima.

“Nishakuwa mtu mzima ukiweka hivo inapunguza usumbufu, na kwa sasa yeye yupo UK anasomea udaktari”, alisema Ommy Dimpoz

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

Leave your comment