TANZANIA: Vanessa, Ben Pol waungana na watu wote duniani, kuadhimisha siku ya Mama duniani.
9 May 2016
Jumapili ya May 8, ilikuwa ni siku ya mama duniani na mastaa kibao wa Tanzania waliungana na watu wengine kuwaandikia ujumbe wa shukrani mama zao. Hawa ni baadhi yao:
Vanessa Mdee:“Lady, don’t you know I love ya I thank God for my prayer warrior #MothersDay #AsanteBiMkubwa #SeeFineGal #PleaseGodProtectMyMomma #TimelessBeauty #SheAlmostSixty #BlackDontCrackBruh”

Feza Kessy:“Ain’t a woman alive that could take my mama’s place, nor my sisters really hehee Happy Mother’s Day to my Rock/Hero/Friend Rosa. @saidakessy na we pia my one and only sis. I love youuu infinity.”

Ben Pol:“Mama you are the Best!.. Wakati Baba anafungwa gerezani Keko alikuacha na ujauzito wangu (yaani mimi nikiwa tumboni mwako nna miezi 6) na ulikuwa na mtoto mkubwa wa miaka miwili Marehemu #michael #mybrother #Rip , tukiishi kwenye nyumba za kupanga Vingunguti, ulipambana, uliuza maandazi, uliuza vitumbua ilimradi kuhakikisha wanao tunakula vizuri, ulifanikiwa kunizaa mimi salama salmini (Nilizaliwa Nyumbani, si Hospitali) ukanilea nikakua, hapo baadae Baba akaachiwa huru na kunikuta nimeshakuwa “Jibaba” lakini zote ni juhudi zako, nakuombea heri mama yangu, mwenyezi mungu akuweke na akupe furaha kila siku, #SioniAibu .. Naipenda sana hii Stori Yangu, ulinihadithia wewe mwenyewe Mama yangu, wewe ni Soldier!!.. Mungu akubariki na awabariki wamama wote duniani.. sparkling_heart , tuseme Amen wote pray!”

Master J:“You held my hand for a short while, but my heart forever. Throughout my life you’re always near to guide my way. Nakupenda sana mama, happy mother’s day. Heartheart”

Diamond kwa mama yake: “Malezi na Misingi Bora uliyonipa ndio iliyonifanya hadi leo nifikie hapa…. jus wanted to tell you that i Love you So Much Mom, na shukuru kwa kunizaa na Kuniongoza vyema kila kikicha Mwanao… Wish you na Wamama wote Duniani Happy Mother’s day, Maisha maref yenye Afya na Furaha tele….. vilevile Mwenyezi Mungu Awasameh Makosa yao na kuzilaza Roho za wamama wote waliotangulia Mbele ya haki Pema Peponi Amin”

Millen Magese:“Happy Mother’s Day to my beautiful Mama ….. #IfIstartToTalk I won’t finish . I love you so much mama and will always be there for you kissing_heartkissing_heartkissing_heartkissing_heartkissing_heart cc @robert_magese @dadival_ @gracemagese @andrewmagese”

Lulu:“Inakuwaga ngumu sana kukuongelea Kwa machache..! Kikubwa namshukuru MUNGU kwaajili yako…wewe ndo mwanamke nyuma ya mafanikio yangu Na ujasiri Wangu…umenitengeneza Na kunifanya niwe nilivyo Naweza kuyakabili magumu Na maumivu kwasababu nimekua nikikuona ukipitia mengi,magumu Na yakuumiza lkn ulisimama katika yote bila kukata tamaa Na mwisho WA yote umekuwa mshindi ktk kila lililoonekana Kama jaribu kwako..!
Kupitia wewe nimejifunza kuwa MAMA Sio kitendo cha kuleta mtoto duniani Tu But being a mother is a Package….kuwa MAMA Ni kuyajua majukumu,kuyakubali Na kuyakabili,Kuwa MAMA Ni kusimama Na kutetea damu yako ikiwezekana Hata Kwa kupoteza heshma Na Hata uhai wako,Kuwa MAMA Ni kulea kuanzia Kimwili,Kiroho,Kiakili,Kimienendo Na mengine mengi Kwa maongozo yako Ninaamini Nitakuja Kuwa Mama Mzuri sana Kwa watoto wangu,Kwa familia yangu Na Kwa watu wote walionizunguka Kwa ujumla Baraka,Neema,Mafanikio,Kibali Na Kila lililojema viendelee kukufata katika maisha yako MAMA…NAKUPENDA Happy mothers Day……….!!!!heartheartheart"





Leave your comment