TANZANIA: Sichaji collabo process yangu mpaka uongee na menejimenti– Baraka da Prince

 

Barakah da Prince ni msanii wa bongo fleva kutoka Mwanza akiongea kupitia 255 ya XXL amesema vigezo kama ukitaka kufanya nae collabo, Baraka amesema haya

“Sichaji collabo process yangu mpaka uongee na menejimenti yangu lakini kabla hujazungumza nao napenda kusikiliza wimbo wenyewe na uwezo wa msanii, mimi kuimba mpaka niwe nimeupenda wimbo ila kama sijaupenda wimbo hata uongee na menejimenti yangu’

“Wengi wanakuja Baraka tutakupa hata hela, mimi huwa sijaweka hela sana mbele sababu unaweza kunipa hela kama nyimbo mbaya itaishia wapi haiwezi kuniongezea mimi chochote kwa sababu nikiimba kwenye nyimbo mbaya kwa sababu umenilipa itanishusha mimi”, Baraka Da Prince

 

Chanzo: Bongo5

 

 

Leave your comment

Top stories