Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: AT azungumzia sababu kubwa ya kufeli kwa wasanii wa Zanzibar
3 May 2016

Game ya Bongo imekuwa ikishikiliwa na wasanii wa kutoka Tanzania bara na kwa sasa wasanii wengi wa kutoka Zanzibar wamekuwa wakifeli.
Akizungumzia sababu kubwa ya kufeli kwa wasanii hao Star wa mduara AT alisema kuwa mapromota ndo wanaoua vipaji vya wasanii hao.
“Wao wanapromote sana wahuni kuliko wastaarabu wanaojua kufanya kazi na ndomana muda mwingine tunaamua tukae pembeni kwanza muwapromote wahuni mukichoka mtakuja kwa wastaarabu tutaendelea na kazi zetu”, alisema AT.
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Gan theking
16 August
- News
16 August
- Am Holy pro Da Ancient
18 August




Leave your comment