TANZANIA: Ningemshauri Mr.Blue amtoe Sugu alafu kama inawezekana aniweke mimi kwenye chorus – Nay wa Mitego

Baada ya siku chache kupita tangu kutoka kwa video ya “Freedom” ya Sugu, baada ya kutoka nyimbo hiyo kuleta utata wa ngoma hiyo ambayo Mr blue akasema ngoma ni yake, kupitia 255 ya Clouds FM Nay wa Mitego amefunguka kuhusiana na ngoma hiyo nakutaka kumpa idea Mr Blue, Nay amesema haya.

“Blue angekuwa ni mshikaji wangu ningemshauri na yeye amtoe Sugu alafu kama inawezekana aniweke mimi kwenye chorus halafu tuharibu hali ya hewa tutajuana huko mbele ya safari, halafu kama ni hela ya kuifanyia Video ngoma hii mimi nitalipa hata kwa GodFather au Hanscana‘ , Nay wa Mitego

 

Chanzo: Bongo5

Leave your comment