TANZANIA: Paul wa P Square ndani ya brand ya WCB
25 April 2016

Paul Okoye wa kundi la P-Square amepost picha akiwa ndani ya kofia la WCB na yupo Johannesburg, Afrika Kusini ambako Diamond yupo huko tangu mwanzoni mwa wiki hii kuzindua video yao.
Paul amepost picha Instagram akiwa amevaa kofia nyeupe ya WCB na kuandika: “It was great supporting a brother from east Africa ..... The king of East Africa guess you already know who” na akapost nyingine na kusema “ Shout out to WCB”.

kwa upande mwengine Paul Okoye amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuonyesha maandalizi ya video hiyo ambayo wamefanya kolabo na Diamond Platnumz.
Hizi ni baadhi ya picha za maandalizi ya video hiyo:








Leave your comment