TANZANIA: Video: Colour of Africa- Mafikizolo ft Diamond Platnumz na Dj Maphorisa

Video iliyokuwa ikisubiriwa na watu kwa muda wa kipindi kirefu sasa imetoka.

Uzinduzi wa video hiyo ulifanyika Ijumaa hii kwenye kiota cha starehe cha Taboo kilichopo jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini. Ulihudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo wao wenyewe, Dj Maphorisa, Dj Tira, Donald, Cashtime Fam, Black Motion na wengine. Uzinduzi huo ulisimamiwa na kituo cha runinga cha MTV Base.

Baadhi ya picha za uzinduzi:

 

 

 

 

 

Unaweza kuangalia video hii hapa:

Leave your comment