TANZANIA: Ben Pol apata mtoto


Muimbaji huyo wa ‘Samboira’ amepiga kimya lakini sio rahisi kwa mama aliyejifungua kuificha furaha ya kupata mtoto. Ben Pol kwa sasa ni baba wa mtoto awa kiume aliyetimiza mwezi mmoja sasa. Mchumba wa Ben Pol, Latifa Mohamed aka Queen Tipha aliyewahi kuwa mshindi wa pili kwenye Miss Tanzania 2013 ametusogeza karibu na mtoto wao.

Leave your comment