TANZANIA: Vanessa Mdee atambulisha dancers wake
21 April 2016

Vanessa Mdee anaweza kuwa msanii mwenye dancers wakali zaidi kwa sasa baada ya kufanya audition mwezi na kitu uliopita. Na sasa yupo tayari kukutambulisha kwa dancers aliowachukua. Dancer aliokuwa nao kwa sasa ni wengi kuliko aliyokuwa nao hapo awali.
Vee Money katika mtandao wa Instagram amepost video ikionyesha wachezaji shoo wake wapya aliowapata kutokana na audition aliyoifanya, Vanessa alipost na kuandika:
Introducing my new #MoneyDancers of Life. We work and play at the same time. Nawapenda sana. Kuna vipaji vingi sana Tanzania. #Niroge can’t wait to hit the stage with them. #ComeDanceWithVee.”
Unaweza kutazama hapa video ya madancer hao wapya wa Vanessa Mdee:




Leave your comment