TANZANIA: Video: Boge – Emmanuel Austin ft Ben Pol

Msanii wa muziki ambaye pia ni mchezaji mzuri wa nyimbo mablimbali Emmanuel Austinn ametoa video yake aliyomshirikisha msanii mwenzake Ben Pol na nyimbo hiyo kuitwa BOGE (Bongo Germany). Video hiyo ilifanya na Nisher.

Unaweza kutazama video hii hapa:

Leave your comment