TANZANIA: Diamond awa Balozi wa RedGold

Nyota wa muziki wa bongo fleva ambae kila kukicha amekua akisikika kwa namna moja au nyingine. Hivi karibuni Diamond Platnumz amepata shavu la kuwa balozi wa sosi ya nyanya (Tomato Sauce) kutoka kampuni ya RedGold.

Diamond ambae amekua amesaini mkataba huo siku ya jana kuwa balozi wa tomato ambayo inatumika sana katika maeneo mengi yanayouza chips nchini Tanzania. Diamond huu ni mkataba wake wa tatu ambapo pia alishawahi kusaini mkataba na DSTV pamoja na Vodacom.

Leave your comment