TANZANIA: Mrisho Mpoto atoa nyimbo ya kuhamasisha usafi.

 

Msanii wa miondoko ya mashairi, Mrisho Mpoto ametoa nyimbo yake mpya ambayo imelengwa kwa wananchi waishio Dar Es Salaam na maeneo mengine kujali usafi katika maeneo yanayomzunguka. Agizo lilitoka baada Raisi John Pombe Magufuli kuhamasisha usafi katika maeneo yanayotuzunguka, na ndipo Mkuu wa mkoa Dar Es Salaam Paul Makonda akaagiza kuandaliwe nyimbo ya kuhamasisha usafi.

 

Unaweza kutazama hapa video mpya ya Mrisho Mpoto:

 

 

 

 

 

 

 

Leave your comment