TANZANIA: Navy Kenzo wapata shavu la Airtel Tanzania
11 April 2016

Wanamuziki wanaounda kundi la Navy Kenzo, Aika pamoja na Nahreel wamepata shavu la kuwa mabalozi wa Airtel Tanzania kupitia promotion yao ya Jipimie na Airtel Yatosha.

Katika akaunti yao ya instagram, walipost na kusema : Tunapenda kuwataarifu rasmi kama Navy Kenzo ni Ambassador wapya wa #JipimieAirtelYatosha ambayo ni bundle mpya na za kipekee wewe kama mteja unaweza kujipimia chochote utakacho iwe dakika, sms au Mb pekee au vyote tu piga *149*98# #jipimieyatosha





Leave your comment