TANZANIA: Roma Mkatoliki aaga ukapela
11 April 2016

Msaniii wa miondoko ya hip hop aliyefanya ngoma kama vile ‘Viva Roma’ , ‘Mwanakondoo’ na nyinginezo nyingi, Roma amefunga ndoa. Msanii huyo siku ya Jumamosi ya tarehe 9 Aprili aliuaga ukapela baada ya kufunga ndoa na mama wa mtoto wake Ivan aitwae Nancy. Wawili hao walifunga ndoa mkoani Tanga ambako ndiko Roma Mkatoliki alikotokea.
Unaweza kutazama baadhi ya picha za wawili hao hapa:









Leave your comment