Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Gardner ashindwa kuielezea kibao cha ‘Ndi Ndi Ndi’…
6 April 2016

Ilikuwa ni mwendo wa majibu ya mkato na mafumbo kutoka kwa Gadner tulipotaka atupe mtazamo wake juu ya hit song "Ndi Ndi Ndi" ya Jay Dee. Camera ya ENewz ilikutana na aliyekuwa mume na pia meneja wa mwanadada Lady Jay Dee, Gadner G Habash na kutaka kupata mtazamo wake juu ya wimbo mpya wa Lady Jay Dee uitwao "Ndi Ndi Ndi", hii ni kutokana stori kuzagaa mitaani kuwa "Ndi Ndi Ndi" ilikuwa ni fumbo kwa Gadner.
Gadner alikataa kuzungumzia chochote kuhusu nyimbo hiyo na kusema "Si ajabu watu wakinishangaa kwa hili, kama kushangaa watu wanashangaa hata mlima Kilimanjaro ambao upo kila siku.
Chanzo:Enewz
Weekly Top 10 songs

Kamwambie3:47
chile-one-so-lucky4:02
Buwooma2:44
Joy Is Coming3:08
Nakupenda3:12
Udede Ft Msomali x Malume & Samas Alifata Hela Remix6:34
Msaliti 11:25
Paver2:55
Ssirivawo ft yven feiz2:10
Ziyakuba kabotu6:57
Top stories
- One and only
01 May
- SHUKRANI
02 May
- Okello oyumu
01 May


Leave your comment