Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Sitaki kolabo na mtu - Godzilla
6 April 2016

Rapa Godzilla a.k.a King Zilla amesema hataki kolabo na mtu yoyote na taarifa ziwafikie kuwa kwa sasa anakuja na album mpya. Godzilla alifunguka alipoongea na eNews na kusema ana uwezo wa kufanya kazi zake mwenyewe bila msaada wa msanii mwingine, "Kwanini nipate usumbufu wa kumtafuta mtu wakati naweza kufanya kila kitu mwenyewe, hata chorus". Alisema King Zilla
Hii ni mara ya pili Godzilla anatoa shombo kuwa hahitaji kubebwa na mtu yoyote ili kumng'arisha kwenye game na kuwa ana plan ya kurudi "on top of the game", plan ambayo itaonekana zaidi kupitia album yake inayokuja soon.
Chanzo: Enews
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00


Leave your comment