Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Diamond amefanya kolabo na Fally Ipupa.
5 April 2016

Nguli wa muziki wa Africa kutoka DRC Congo mwenye makazi yake jijini Paris Ufaransa amefanya collabo na mkali wa Africa Mashariki Diamond Platnumz, kazi hiyo imefanyika jijini Paris wakati Diamond akiwa kwenye mapumziko mafupi na familia yake. Diamond Ameandika hivi: I wish you guys can get jus a second to hear what we did with my brother @fallyipupa01 Last night in Paris!!!
(Natamani walau mngepata japo sekunde moja tu ya Kuskia tulichokifanya jana katika Ngoma Mpya alonishirikisha @fallyipupa01 ..... Mwenyewe anasema kabla ya Kushoot Video lazma tuiingilie Chimbo kama Wiki nzima Hivi na Madancers wetu wote, Full Dance na Mapande ya ajabu.
Acha tusubiri kibao hicho inaonekana kitakuwa hatari!!!!
Weekly Top 10 songs

Kamwambie3:47
chile-one-so-lucky4:02
Buwooma2:44
Joy Is Coming3:08
Nakupenda3:12
Udede Ft Msomali x Malume & Samas Alifata Hela Remix6:34
Msaliti 11:25
Paver2:55
Ssirivawo ft yven feiz2:10
Ziyakuba kabotu6:57
Top stories
- One and only
01 May
- SHUKRANI
02 May
- Okello oyumu
01 May


Leave your comment