Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Juma Nature ndiye aliyekuwa mkubwa Wanaume TMK - Chege
4 April 2016

Msanii wa Bongo Flava nchini Chege Chigunda amesema msanii mwezake Juma Nature ndiye msanii alikuwa mkubwa kuliko yeye na wenzake katika kundi la Wanaume Family na kuwafanya watambulike kwenye ramani ya muziki. Chege ameonyesha wazi kumkubali Juma Nature alipokuwa akizungumza katika kipindi cha MKASI kinachorushwa kila siku ya Jumatatu na kituo cha EATV.
Msanii Chege ameonyesha wazi wazi kutamani kundi hilo liweze kurejea kama zamani kwani kuna vitu ambavyo hawezi kuvisahau ambavyo walikuwa wakivifanya katika kundi hilo ambavyo vilifanya waweze kukubalika sana na wananchi.
Aidha msanii huyo ameweka wazi kwamba Juma Nature ndiye ambaye alikuwa na tatizo na uongozi wa kundi hilo hadi kupelekea kugawanyika na wala si yeye.
Chanzo: Enewz.com
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00


Leave your comment