Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: “Nahamishia studio Mikumi” – Proffesa Jay
1 April 2016

Joseph Haule a.k.a profesor Jay amesema atahamisha studio yake ya Mwanalizombe iliyopo Dar es salaam hadi jimboni kwake Mikumi mkoani Morogoro. Akiongea hayo kupitia Clouds fm mbunge huyo wa Mikumi katoa sababu ya kuhamisha jimboni kwake lengo kuu kusaidia wananchi wa jimbo hilo kwani yawezekana kuna vipaji ili wajipatie ajira kupitia studio yake.
Amewaomba watengenezaji wa muziki(producer) waje kutengeneza ngoma kupitia studio hiyo ili kutoa mchango wao kwa wananchi wa mkoa huo. Profesor Jay amesema pia ataongeza na video shooting kwa ajili ya kutengeneza wigo mpana kwa wana kwaya au sherehe na shughuli zote zinazo husu video.
Chanzo: Mtembezi.com
Weekly Top 10 songs

Kamwambie3:47
chile-one-so-lucky4:02
Buwooma2:44
Joy Is Coming3:08
Nakupenda3:12
Udede Ft Msomali x Malume & Samas Alifata Hela Remix6:34
Msaliti 11:25
Paver2:55
Ssirivawo ft yven feiz2:10
Ziyakuba kabotu6:57
Top stories
- One and only
01 May
- SHUKRANI
02 May
- Okello oyumu
01 May


Leave your comment