TANZANIA: VIDEO: ‘Fundi’ ya Mh. Temba.

 

Msanii kutoka kwenye kundi la Wanaume Tmk Mh. Temba  ametoa video ya nyimbo inayotamba katika stesheni nyingi hapa nchini Tanzania. Katika nyimbo hii amewashirikisha Jokate na Maromboso. Video hiii imeandaliwa na Wanene Films na kuongozwa na Hascana.

 

Unaweza kuitazama video hii hapa:

 

 

 

 

Leave your comment