TANZANIA: Ray C asema kiuchumi hayuko sawa, analazimika kupanda ‘daladala’.
1 April 2016

Msanii anayejulikana kwakuwa na kiuno bila mfupa Rehema Chalamila ama Ray C amekiri na kusema kuwa hali yake kiuchukmi hayuko sawa, kwahiyo analazimika kutumia usafiri wa umma ‘Daladala’.
Katika mahojiano yake na mtangazaji wa Planet Bongo alimhoji na kumuuliza Ray c kwamba kuna muda anakosa hata nauli ya kwenda kupata tiba, kwahiyo inambidi avae ninja apande kwenye daladala, Ray C alikiri na kusema, “Kiukweli jamani maisha yetu haya wasanii, yani inakubidi umuombe tu Mungu. Mtu akikuona umepanda daladala nani atanunua albam yako”.




Leave your comment