TANZANIA: Harusi ya Mabeste na Lisa yanukia.
30 March 2016

Rapper Mabeste amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake wa siku nyingi ambae pia ni mama wa mtoto wake Kendrick.
Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds Tv, Mabeste alisema: “Hivi karibuni na mama watoto wangu Lisa tumetoka kuwaona wazazi wake na kuna vitu nimepatiwa na vitu vingine zaidi watu tutawajulisha. Zaidi nipo katika harakati za kuweka mambo zawa, nadhani hadi mwezi wa nane tutakuwa tunabariki ndoa, yani mwaka huu nitakuwa busy zaidi na mambon ya ndoa; pamoja na mambo ya muziki”.
Chanzo:Bongo5.com




Leave your comment