TANZANIA: Nay wa Mitego ataja nyimbo tatu za kimataifa.
30 March 2016

Staa wa Shika adabu yako, Ney wa Mitego amewaweka tayari mashabiki wake kuwa kuna ngoma kali itakuja baada ya hii inayotamba sasa. Nyota huyo akiongea leo kupitia XXL ya Clouds fm kuwa kuna collabo inakuja ya kimataifa ambapo aliziahidi muda mrefu katika interview zilizopita .

“Nina kolabo tatu nilishazifanya tangu mwaka jana,zipo ndani nazisikiliza na kali kweli kweli unajua napenda nifanye ngoma sio mimi ni bebwe bali nataka nifanye kitu watu waone uwezo wangu nyimbo kali tusubiri miezi ya katikati nitazitoa” alisema Ney. Mwaka jana aliwahi kuhojiwa kupitia kipindi hicho alisema msanii Runtown kutoka nchini Nigeria alishapenda wazo la ngoma yake ya Akadumba na walipanga kuifanya.

Chanzo: Mtembezi.com

Leave your comment