TANZANIA: Tazama 'meme' 24 za wimbo wa ‘Niroge’ wa Vanessa
30 March 2016

Siku hizi ukitoa videp ukakaa kimya ukategemea watu wakaenda wenyewe YouTube kuitazama, itakula kwako labda uwe Beyonce. Ili kuifanya video yako itazamwe zaidi, ni vizuri kutumia social media kupush bila kuchoka. Wengi wanataka mashabiki zao watume video zao wakicheza au wakiimba na msanii kuzipost kwenye akaunti zao.
Lakini Vanessa Mdee amejaribu kuwa unique zaidi ili kupromote wimbo wake mpya wa ‘Niroge’. Amewataka mashabiki zke watume Meme… ziangalie zitakufurahisha.























Chanzo: Bongo5.com




Leave your comment