TANZANIA: Ben Pol asherehekea pasaka na Mwana Orphan Center

 

 

Wasanii wengi wa nchini Tanzania wameonekana wakitumia muda wao wa sikukuu ya pasaka, wakiwa na familia zao au stejini wakiwa na shoo mbalimbali. Msanii Ben Pol  akiwa na msanii mwenzake Emmanuel Austin walifurahia pasaka wakiwa katika kituo cha watoto yatima kiitwacho Mwana Orphan Center kilichopo Vingunguti, wilaya ya Ilala, jijini Dr es Salaam.

Msanii huyo alitembelea kituo hicho siku ya tarehe 28 alienda kutembelea  kituo hicho akiwa na marafiki walioongozana pamoja na kwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali.

 

 

 

 

 

 

Leave your comment