TANZANIA: Jay Dee atoa ofa kwa mashabiki.

 

Lady Jay Dee  anatoa ofa kabambe kwa  mashabiki wake ambapo atakaye fanikiwa atapata fursa ya kula lunch na msanii. Unachotakiwa kufanya  ni kujirekodi na kupost kwenye Instagram au Facebookukiimba wimbo wake mpya wa ‘NdiNdiNdi’.

Jay Dee katika ukurasa wake wa Instagram aliandika , “ Katika watu wote waliotuma videos wanaimba ‘NdiNdiNdi’ nawashukuru sana, wanaopenda kuendelea wanakaribishwa ila nitakuwa nazilike huko huko kwenye page zenu. Kifuatacho sasa nitachagua clip 3 bora zilizokonga na kusuuza watu wengi na watatu hao, nitafanya mchakato na japo dinner na kuhang nao siku yoyote nikiwa na event kubwa majina nitataja baadae kidogo. 1. 2. 3.

 

Chanzo: Bongo5.com

 

 

 

Leave your comment