TANZANIA: Video: ‘Hawajui’ by Amini.

 

Msanii aliyetokea katika nyumba ya vipaji THT (Tanzania House of Talent) Amini, ametoa kibao chake kipya kiitwacho ‘Hawajui’. Amini ni msanii ambaye kwa kipindi kifupi alikua kimya na sasa ameamua kitoa kibao chake hicho kiitwacho ‘Hawajui’. Nyimbo hiyo imeongozwa na Kwetu Studios.

 

Unaweza kuitazama video hapa:

 

 

Leave your comment